Bodi za Maji za Mabonde zilianzishwa kwa sababu kadhaa muhimu ili kuboresha usimamizi na uendelezaji wa rasilimali za maji. Sababu kuu ni pamoja na:
Usimamizi Endelevu wa Maji: Bodi hizi zilianzishwa ili kuhakikisha kuwa rasilimali za maji zinatumika kwa njia endelevu na yenye manuf...
WUMIS ni mfumo unaotumika kufanya maombi ya kibali cha kutumia au kumwaga maji taka kutoka mamlaka husika kama vile bodi za mabonde ya maji,mamlaka ya maji, au mamlaka ya udhibiti wa maji. Fomu za maombi Pamoja na jumla ya gharama zinapatikana kwenye mfumo ili kuwezesha wateja wanaotaka kufanya maom...
Ofisi kuu ya Bodi ya Maji Bonde la Rufiji inapatikana Mkoani Iringa
UTARATIBU WA KUOMBA KIBALI CHA KUTUMIA MAJI JUU NA CHINI YA ARDHI
Barua ya maombi
Mwombaji anatakiwa kujaza fomu ya maombi na kuwasilisha katika ofisi ya Bonde (Iringa, Rujewa-Mbeya, Ifakara-Morogoro, au Utete-Rufiji) ikiambatana na ada ya maombi. Ombi husika, ada hizi hutofautiana kut...
Yafuatayo ni majukumu ya Bodi ya Maji Bonde la Rufiji;
o Kufanya tathmini na ufuatiliaji wa rasilimali za maji;
o Kugawa Maji; na
o Kuhifadhi Vyanzo vya Maji na kudhibiti uchafuzi.