Bodi ya Maji Bonde la Rufiji inahusika na nini?

Yafuatayo ni majukumu ya Bodi ya Maji Bonde la Rufiji;

o Kufanya tathmini na ufuatiliaji wa rasilimali za maji;

o Kugawa Maji; na

o Kuhifadhi Vyanzo vya Maji na kudhibiti uchafuzi.