UPIMAJI WA KIWANGO CHA MAJI KATIKA MTO LITTLE RUAHA.
05 Nov, 2026 08:00AM-03:00PM MAWANDE-PAWAGA

Wataalamu kutoka Bodi ya Maji Bonde la Rufiji wakiendelea na zoezi la upimaji wa kiwango cha maji katika Mto Little Ruaha,eneo la Mawande,Tarafa ya Pawaga,kwa lengo la kufuatilia mabadiliko ya viwango vya maji na kuimarisha usimamizi wa rasilimali za maji.

UPIMAJI WA KIWANGO CHA MAJI KATIKA MTO LITTLE RUAHA.