UDHIBITI WA MTO LUMEMO – IFAKARA
Imewekwa: 03 Oct, 2026
UDHIBITI WA MTO LUMEMO – IFAKARA

Bodi ya Maji Bonde la Rufiji yaanza zoezi la kuudhibiti mto Lumemo ambao umekuwa ukisababisha mafuriko katika makazi ya wananchi katika kipindi cha mvua