Imewekwa: 10 Nov, 2026
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imetembelea na kukagua miradi mbalimbali inayotekelzwa na Bodi ya Maji Bonde la Rufiji,katika ziara hiyo Kamati imeonya na kukemea vikali wananchi wanaoharibu vyanzo vya maji na mazingira, ikiagiza hatua za kisheria zichukuliwe kwa wahusika.

