19 Oct, 2026
11:00AM - 01:00PM
RBWB HEADQUARTERS
Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Rufiji Eng. David Munkyala, amefungua mafunzo kwa watumishi wa bodi, mafunzo ambayo yanalenga kuongeza ujuzi,kuimarisha ufanisi na kuboresha utekelezaji wa majukumu ya kila siku kwa ajili ya utoaji wa huduma bora.Hata hivyo mafunzo hayo yanaendelea kutolewa na Wakuu wa Idara mbalimbali katika Makao Makuu ya Ofisi hiyo.

